TGViewer
Russian House in Dar es Salaam Russian House in Dar es Salaam @rtcctanzania · 777 subscribers
Post #8753 81
Utume Mzuri!

🗻👨‍⚕️ Baada ya Kongamano la "Muda wa Matendo Mema”, tumeanza mafunzo ya vitendo kwa waongoza – watalii wa ki-Tanzania, chini ya program ya "Uokoaji Katika Milima".

🇷🇺🇹🇿 Wakufunzi wa Shirikisho la Upandaji- milima la Urusi wameakisi mpango huo kwa mazingira halisi ya eneo hilo.

🗻 Eneo hili halina njia zenye changamoto na hata zana maalum. Ila kuna mwinuko wa zaidi ya mita 5,000, homa ya milima na majabali ambayo unaweza kujikwaa na kuumia.

👩‍🏫 Mihadhara inafanyika katika viunga vya Chuo Cha Usimamizi wa Wanyamapori Afrika (MWEKA). Mazoezi hayo yanafanyika katika ukanda wa juu, chini ya"Kilele cha Afrika" - Mlima Kilimanjaro.

😶‍🌫️Kazi ya Kituo cha Sayansi na Utamaduni cha Urusi, kipindi hiki, haifanyiki Dar Es Salaam, bali katika mwinuko wa mita 3,700 toka usawa wa bahari.
  • ❤ 4
More from @rtcctanzania
  1. Sep 20, 2026Уважаемые друзья, Голосование на избирательном участке №8030 (Российский центр науки и кул…
  2. Sep 20, 2026Голосование продолжается! Сегодня Российский центр науки и культуры в г. Дар-эс-Салам явля…
  3. Sep 20, 2026От Занзибара до Норильска! Как граждане Российской Федерации голосуют в Танзании: 1. Надеж…
  4. Sep 20, 2026Уважаемые граждане Российской Федерации, Избирательный участок № 8030, расположенный по ад…
  5. Sep 20, 2026Taarifa ya Igor Chaika, Mkuu wa Shirika la Rossotrudnichestvo Wito wa Sibiga wa kufungwa k…
  6. Sep 19, 2026Statement by Igor Chaika, the Head of Rossotrudnichestvo Agency Sibiga’s call to shut down…
Threads Profile ViewerView any public Threads profile without an account.Open ThreadLook →Writing with AI? Make it sound human.Metric37 rewrites AI drafts so they read naturally. Free AI detector, 1,500 words free.Try Metric37 →