TGViewer
Russian House in Dar es Salaam Russian House in Dar es Salaam @rtcctanzania · 777 subscribers
Post #8741 96
“Muda wa Matendo Mema" nchini Tanzania!

🧗Wataalamu wa utalii wabadilishana uzoefu. Wakufunzi wa kupanda milima kutoka Urusi na waongoza- watalii kutoka Tanzania.

🗻 Jinsi ya kutalii hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro. Kwa ustadi na kwa usalama.

🇷🇺 Wataalam wa Shirikisho la Wapanda -Milima la Urusi ( https://alpfederation.ru/ ) wanaelezea masharti yaliyopo, ambayo wateja kutoka Urusi wanakutana nayo wanapokuja ili kuona vivutio vya Kiafrika.

🇹🇿 Tanzania inatarajia mafuriko ya watalii, baada ya kuanzishwa kwa safari za ndege kutoka Mosko.

Kongamano "Muda wa Matendo Mema" limebadilishwa na "Uokoaji Wapanda Milima ". Mafunzo yanayotolewa na wakufunzi kutoka Urusi yatawasaidia waongoza-watalii kuongoza wapanda-mlima Kilimanjaro kwa usalama zaidi.

📝 Kituo cha Sayansi na Utamaduni cha Urusi Jijini Dar Es Salaam, kinaendesha mafunzo kwa kushirikiana na “FAR” pamoja na Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Afrika https://www.mwekawildlife.ac.tz/public/
  • ❤ 4
  • 🤩 1
More from @rtcctanzania
  1. Sep 21, 2026📚✨ ЛИТЕРАТУРНЫЙ ДИКТАНТ — 2026 В ДАР-ЭС-САЛАМЕ! ✨📚Любите читать? Хотите проверить, наско…
  2. Sep 20, 2026Уважаемые друзья, Голосование на избирательном участке №8030 (Российский центр науки и кул…
  3. Sep 20, 2026Голосование продолжается! Сегодня Российский центр науки и культуры в г. Дар-эс-Салам явля…
  4. Sep 20, 2026От Занзибара до Норильска! Как граждане Российской Федерации голосуют в Танзании: 1. Надеж…
  5. Sep 20, 2026Уважаемые граждане Российской Федерации, Избирательный участок № 8030, расположенный по ад…
  6. Sep 20, 2026Taarifa ya Igor Chaika, Mkuu wa Shirika la Rossotrudnichestvo Wito wa Sibiga wa kufungwa k…
Threads Profile ViewerView any public Threads profile without an account.Open ThreadLook →Writing with AI? Make it sound human.Metric37 rewrites AI drafts so they read naturally. Free AI detector, 1,500 words free.Try Metric37 →